Wednesday, December 14, 2011

CCM kirumba ilikuwa shangwe cheki ambassador walivyo shine
Zaky kama kawaida after job anachukua kumbukumbu hahahahahahaha
Ambassador ndani CCM KIRUMBA MWANZA kiukweli walifanya poa sana
nilikuwa mmoja kati ya Cameras Opparater katika kukamilisha mpango mzima wa video production
Ssozi Joram Mwalimu wa Ambassador Choir. Ni mganda mwenye kipaji cha ajabu sana
nimefanya naye kazi katika studio ya Jamen kampala akiwa ni producer katika studio
ya Jamen iliyopo Chikoni Makerere kampala Uganda
Je Hawa niwapenzi wa ambassador, Wasikilizaji, au niwatazamaji? na je wanayo yasikia
kutoka kwa ambassador kwaya yanawasaidia?
Cheki shazi ya watu walivyo furika kuwatazama waimbaji wa ambassador
walipo piga show diamond jubilii jijini Dar
Watu wa habari pia hawa kucheza mbali na ambassador maana masikio ya watanzania wengi
yalielekezwa kwa ambassador of christ popote walipokuwa
Makamuzi yanaendelea mpaka mida flan ya knight
Ambassador wakiwa wajiachia na pamba za maskan
Baadhi ya waimbaji akiwepo mwalimu wao sozi joram akiimba kwa hisia huku akikonga nyoyo
za mashabiki wa wimbo wa nyumbani kwetu pazuri
Baadhi ya wimbaji wa sauti za mbele akina dada wakiimba kwa mbwembwe
wakimtukuza mungu katika ukumbi wa Diamond jubilee Dar city
Waimbaji wa ambassador choir kutoka Rwanda
wakitumbuiza katika onesho lao la jijini Daresalaam wiki iliyopita
katika ukumbi wa Diamond Jubilee